Safi sana.Wewe ni shabiki sugu!Nimekua mshabiki wa monastir Toka miaka ya 2000
Inakwenda kupigwa mechi ya kiume na sio mechi ya kike kike kama ya jana, unamfunga horoya unatamba mji mzima, Mechi ni leo na mwarabu atapigwa tu atake asitake, inapotaja timu yenye kikosi bora Tanzania ni yanga, unapotaja timu yenye benchi bora la ufundi Tanzania ni yanga, Sasa waarabu watatokea mlango gani labda tuambie pamoja na ubora waoBaaada ya jana Mnyama mfalme wa nyika mwenye pori lake kuwatafuna na kuwavulumisha timu nguri ya Horoya kwa magori saba kwa nunge, na kuipa nchi sifa kedekede hatimae leo Taifa litapokea aibu toka kwa vyura wa Jangwani yaani Utopolo max
Sasa kwa siku ya leo ndugu watanzania na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kuna Timu kongwe inaenda kutuaibisha
Kama kuna mtu anabisha tukutane hapa hapa saa tatu usiku baada ya kufungwa na waarabu wenye hasira kali
Na hamtofuzu kwenda robo fainali maana mkienda lubumbashi mtarudi na aibu nyingine ya kufungia mwaka
Ila jana lilipigwa bori kashata miksa masotojo alafu yule chama Chelsea, Man U anacheza vizuri tu na hakuna wa kumuweka benchi
Mimi ni Shabiki wa Lunyasi!
View attachment 2557516
Baaada ya jana Mnyama mfalme wa nyika mwenye pori lake kuwatafuna na kuwavulumisha timu nguri ya Horoya kwa magori saba kwa nunge, na kuipa nchi sifa kedekede hatimae leo Taifa litapokea aibu toka kwa vyura wa Jangwani yaani Utopolo max
Sasa kwa siku ya leo ndugu watanzania na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kuna Timu kongwe inaenda kutuaibisha
Kama kuna mtu anabisha tukutane hapa hapa saa tatu usiku baada ya kufungwa na waarabu wenye hasira kali
Na hamtofuzu kwenda robo fainali maana mkienda lubumbashi mtarudi na aibu nyingine ya kufungia mwaka
Ila jana lilipigwa bori kashata miksa masotojo alafu yule chama Chelsea, Man U anacheza vizuri tu na hakuna wa kumuweka benchi
Mimi ni Shabiki wa Lunyasi!
View attachment 2557516
Filimbi ya mwisho ikipulizwa uje mkuuInakwenda kupigwa mechi ya kiume na sio mechi ya kike kike kama ya jana, unamfunga horoya unatamba mji mzima, Mechi ni leo na mwarabu atapigwa tu atake asitake, inapotaja timu yenye kikosi bora Tanzania ni yanga, unapotaja timu yenye benchi bora la ufundi Tanzania ni yanga, Sasa waarabu watatokea mlango gani labda tuambie pamoja na ubora wao
Karudie post yako iliyopita dhidi ya Bamako alafu ujipime kama uko vizuru kichwani, Mpira ni dk 90 na sio utabiri wa mdomoniFilimbi ya mwisho ikipulizwa uje mkuu