Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,864
- 41,210
Simba tumeshinda 1 bila
Tumepiga moja ila we acha tu....wana mtu anaitwa Bata Mbuzi presha tupu.Matokeo wakuu..ngapi ngapi
Huyu Bata anafaa sana pale unyamani ni fundi mnooo aisee!!!Tumepiga moja ila we acha tu....wana mtu anaitwa Bata Mbuzi presha tupu.
Sawa, tumekusikiaLeo lazima Mnyama anyofolewe nywele kudadadeki...
Hyo ni Mikia ScShombe la aibu tupu kumbuka "This is Simba Brother"
Tumepiga moja ila we acha tu....wana mtu anaitwa Bata Mbuzi presha tupu.
Matukeo ndo nnShombe la kigunya upo?..lete matukeo..