Leo siku ya ukimwi duniani

Leo siku ya ukimwi duniani

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,280
naamini sote tunajua kuwa leo ndio siku ya ukimwi duniani.wana JF tumepima? tanzania bila ukimwi inawezekana? je tupo wazi kwa watoto,wadogo,vijana wetu kueleza kuhusu gonjwa hili hatari? au ndo tunajadili tu kuhusu dawa za kichina? tunasaidiaje kuondokana na hili tatizo?
TUJADILI...
 
Back
Top Bottom