KIGOGO njia ya kuelekea tabata ,na maeneo ya mwembe jando tangu jana mchana hadi muda huu hakuna umeme,mafund wa tanesco au tanesco yenyewe inawezekana imekwishazeeka inaitaj kuundwa upya,waziri husika ambaye serekali imemuamin kwa kumpa wizara inayobeba tasis hii ambayo ndiyo nyenzo kubwa ya maendeleo kwa taifa hili maskin linaotegemea nishat hii kupiga hatua,sijawah sikia hata siku 1 kuwa ameshapita pita humo mabaran na majumban kuwahoj wananch wanakero gani au nin kifanyike kukabiliana na matatizo ya umeme,mfano huko kigambon na mbagara angetembelea mda huu kujionea tatizo n nin,nashangaa tanesco mafund wanaenda vp majumban kulala wakat wateja wao hawana huduma,tena usikute maeneo hayo hamjajuzwa kwanin hakuna umeme maeneo yenu had leo.tanesco inashndwa hata kupitisha gar za matangazo maeneo yenu ili angalau kuwapa moyo kujua tatizo lenu linashugulikiwa,sikubalian na tanesco namna wanavyotoa huduma zao,hawajua had mda huu wameshakosa mamilion mangap na wanaridhika na hali hiyo kuendelea kupoteza mapato