...jamani hii inaonesha jinsi ambavyo hii JF ilivyo muhimu, maana FB wala Twitter hazisheheni habari kama JF, naifagilia JF, maana siwezi kuamka asubuhi bila kuwa JF, then nikipata muda ndiyo naeda kunusa kidogo fb au twitter, ila kwa leo ndiyo sijapita kabisa!