Leo ningependa kushare nanyi juu ya haya maisha ya Baharia

Asikuchoshe mkuu huyu ni mlugha lugha tu wale baharia wa vijiwe vya kahawa alipo niacha hoi ni alipotumiwa passport kwa email na kwenda kupanda ndege kama daladala.
 
yaani umetuma tu CV, ukapigiwa simu tena lugha hukuielewa ukawa unaitikia tu yah yah yah, kwenda kwenye email mkataba na tiketi ya ndege hapo hapo tena ukaenda kuwa oiler dah hiyo kampuni kiboko imesajili kweli na IMO..
Mkuu nimefupisha Mambo mengi Sana hapo hyo process ilinichukua Zaid ya mwezi mmoja, kwaiyo ulitaka nielezee hadi siku ya interview niliulizwa nn? Kuna Mambo sijayaweka coz najua kwa wasomaji ambao sio mabaharia hayana faida Kwao ndo Mana Kuna baadhi ya Mambo nimeyaruka ila haikua kirahisi ivo
 
Duu mbona wewe inaonekana unajua kuliko mwenye Uzi wake. Uteke huu Uzi na uanze kujibu wewe maswali.
 
Asikuchoshe mkuu huyu ni mlugha lugha tu wale baharia wa vijiwe vya kahawa alipo niacha hoi ni alipotumiwa passport kwa email na kwenda kupanda ndege kama daladala.
We jamaa umenifanya had nidownload app ya kuedit picture☺️☺️☺️☺️
 
Asilimia kubwa ya mabaharia kutoka Africa na Asia mostly Filipinos seaman books zao ni za kimagumashi lakini wanapata kazi hata kwenye shipping companies kubwa duniani, kama alivyosema mleta mada wengi hupatia experience huko huko melini.
 
Tartibu zikoje za kupata hiyo coz mkuu.
Chuo gani ulisoma?
Na niwe na vigezo vipi?
Mkuu njia ni mbili tu kusoma long course au short course

Ila all in all lazma uwe na mandatory course ambazo utapata vyet vinne hvyo ndo vinavyotambulika na imo Sasa baada ya hapo ndo Kuna Yale mahitaji ya campun kwa MFANO unataka kwenda meli ya mafuta happy lazima uwe na cheti Cha tanker. So basic ni hzo mandatory course hayo mavyet mengine inategemea na uhitaji was campun kulingana na meli walizonazo

Ukisoma long course kwa watu wa engine Mara nying unaishia kwenye vyet 10 ila kwa deck naskia wanapewa had vyet 14 au 15 Kama sijakosea

Short course huwa inachukua wk Moja but we tenga mwez mzma kulingana na ratiba ya chuo

Ila kwa long course diploma no miaka 3 na degree na miaka 4
 
Vigezo mkuu vya elimu vikoje ili kupata nafasi.
 
Asilimia kubwa ya mabaharia kutoka Africa na Asia mostly Filipinos seaman books zao ni za kimagumashi lakini wanapata kazi hata kwenye shipping companies kubwa duniani, kama alivyosema mleta mada wengi hupatia experience huko huko melini.
Hawa jamaa mi nimewashangaa Sana wanavonibana kuhusu experience Yan ndomaana napata mashaka Sana inawezekana ni mabaharia uchwara.....et mtu anahoji mihuri kwenye seaman book.. these guy are not serious naomba niishie hapo
 
Reactions: Qwy
Michael G?Ugali?
 
Uzi matata huu,Mkuu tiririka zaidi
Mkuu Mambo ni mengi Sana so siwez elezea yote ila ukiuliza swali utajibiwa
Kuna Mambo mengi Sana mabaharia wanayapitia so kuyaeleza yote inakua ni ngumu
 
Je mtu aliesoma naval architecture&offshore engeneering anaweza kuwa baharia i mean akafanya kazi kama marine engineer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…