Asante kwa wewe zinaekutosha. Ni tukio ambalo sijalipenda na kulilaani, nimeposti si kwa kupenda ila kuonyesha namna tulivyo bado wajinga, watu wenye roho mbaya na wenye wivu wa maendeleo. Sijaweka picha yake akiwa hai na nimeonyesha sehemu aliyofanyiwa na hao usiotaka jamii isiwachukie kwa kuficha maovu yao. Next tumia lugha zuri kwani matusi hata mimi yapo tele...mmezika mgomba!
.....ila ni busara kweli kumpiga picha kabisa ili uje upost JF?
...hakika,hazikutoshi!
Watanzania tunatabu sana,akiweka picha maneno asipoweka watasema weka picha au hiyo ni ya kutunga!...mmezika mgomba!
.....ila ni busara kweli kumpiga picha kabisa ili uje upost JF?
...hakika,hazikutoshi!
Uko sahihiAsante kwa wewe zinaekutosha. Ni tukio ambalo sijalipenda na kulilaani, nimeposti si kwa kupenda ila kuonyesha namna tulivyo bado wajinga, watu wenye roho mbaya na wenye wivu wa maendeleo. Sijaweka picha yake akiwa hai na nimeonyesha sehemu aliyofanyiwa na hao usiotaka jamii isiwachukie kwa kuficha maovu yao. Next tumia lugha zuri kwani matusi hata mimi yapo tele
Hahahaahha jamaa kaweka evidence zote muhimu jamaa hawataki tena evidence HahahahahahahaWatanzania tunatabu sana,akiweka picha maneno asipoweka watasema weka picha au hiyo ni ya kutunga!
Mimi mwenyewe ni ndugu na kumbuka ndugu walitaka maiti isizikwe hadi apatikane mhusika, kijijini hakuna chumba cha kuhifadhi maiti na walitaka kila mtu aone mimi na baadhi ya ndugu, rafiki wengine wa marehemu tukashauri busara zitumike la sivyo mapanga yangetokea hivyo hata mke na watoto hatukuwaonyesha.Uliomba idhini kwa ndugu kuweka picha. Imeshatokea. Hatukuwa na sababu ya kuweka picha katika hali hiyo.
Watanzania tunatabu sana,akiweka picha maneno asipoweka watasema weka picha au hiyo ni ya kutunga!
Na nilifahamu tu kama sitaweka vielelezo hao hao ungesikia wanasema story ya uongo.Hahahaahha jamaa kaweka evidence zote muhimu jamaa hawataki tena evidence Hahahahahahaha