Leo nimewakumbuka CAMP MULLA

Leo nimewakumbuka CAMP MULLA

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,262
Reaction score
5,108
Hawa jamaa kutoka Kenya walikuwa na international flow, walikuwa ahead of time. Imepita miaka kama 13 tangu hawa jamaa waje kwenye game ya muziki na ghafla wakapotea.

Nafikiri kwa ile style yao ingekuwa favourable kwa soko la sasa kwa maana muziki umeonesha kuwalipa vijana vizuri.

I miss them.



 
Back
Top Bottom