Leo nimetua DSM baada ya likizo

baro

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
3,407
Reaction score
4,943
Kama kichwa cha habari kisemavyo , Leo nimetua dsm baada ya kutoka mapumzikoni huko magharibi mwa afrika

Jiji limetulia tulii ,na mabadiliko kadha wa kadha ,

Nimeamua nipumzike hapa ,kujiandaa na safari ya kwenda Mwanza

Kwa yeyote aliyepo , dsm , tuonane tubadilishane mawazo , ya hapa na pale katika kuijenga Tanzania ya viwanda .
 
Mutu isiyojulikana hii!
 
Hahhahahaaaaaaaa ndugu Mimi nikushauli kitu ulipokanyaga tu bogo ulikuta watu mi nadhani ungeanza nahao kwanza kujadili kuhusu hiyo Tanzania ya viwanda,isitoshe wewe kama vile nilikuonaga KIBITI au nimekufananisha.
 
Akhaa! Mie sitaki. Alikuja rafiki yangu mmoja kutoka Japan tukakaa naye bado ana mawazo ya kitoto kitotooo! Yani aliniboa nikajuta hata kumit naye... Bongo tunaishi kiume, we najua utakuwa umerudi na story za kusadikika tu!
 
haujatafuta totoz ?
 
Hahhahahaaaaaaaa ndugu Mimi nikushauli kitu ulipokanyaga tu bogo ulikuta watu mi nadhani ungeanza nahao kwanza kujadili kuhusu hiyo Tanzania ya viwanda,isitoshe wewe kama vile nilikuonaga KIBITI au nimekufananisha.
anadika vzuri bas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…