Daaah wakuu, leo nliingia pale V-Mart viva towers maeneo ya posta nika mini market flani hivi. Hee, nikakuta kuni zinauzwa mle ndani? I had to take a snap kwa kweli
ndio hizo unazoziona mkuu zipo kwenye somekind of a refrigerator. i was devastated kwa kweli af cjui za miti gani. but i guess ni kwaajili ya zile crib zenye fireplace kwa ndani, nshawahi kuona kwenye nyumba moja pale Chole st.