Leo nimetembelea Addis Ababa

Tiketi ya ndege na ET return bei gani ? visa je haisumbui ? Wallah ngoja nimalize huu mwezi
 
Tiketi ya ndege na ET return bei gani ? visa je haisumbui ? Wallah ngoja nimalize huu mwezi
 
....

.....Mkuu falcon mombasa haya makitu noma sana unaweza tokomea huko !!!



Note: hiyo nywele sio ya katani ni kitu living

Mkuu huko inaonekana ni hatari sana eee, cheki mtoto alivyo laini utafikiri anaoga maziwa. Hao huwa nasikia wana masalia ya kiyahudi.

Mkuu umesema hiyo unywele ni hai ssio marehemu kama za hawa wa bongo? Sasa ntafikiria kwenda kumtembelea rafiki yangu wa huko mmisionari maana mara nyingi huwa anaiomba nikipata muda nikamsalimie.
 

Eheee........kuna nini tena........?.......ukiweka picha za warembo........usiache kutuwekea na sisi eye candy........tena tafuta zenye dread..........sawa eeh.........
 
Haha..ni Leo..Ila mm Sio mwenzio nna uhakika saa izi kwako Ndo kumekucha

yaani ukiwa mgeni nchi flani raha sana,kila demu anakushobokea umuonje hata bure, karibu uje kushika hata chuchu za warembo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…