MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,849
- 43,019
Quite = quit, Engilish = EnglishSasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Malizia shule za midiamuu 😂😂Wewe utakuwa mwalimu wa primary school
"Hey why did you step on my foot" 🤣🤣🤣Ungemkanyaga kwa makusudi mguuni uone kama ataweza kusema "umenikanyaga" kwa kiingereza 😀🙂
I can't get over the way you behaved in front of that lady at the supermarket. It was so embarrassing."Hey why did you step on my foot" 🤣🤣🤣
Tate unaupiga mwingi.Sababu yako ya kujisikia aibu, haina mashiko.
Swali la msingiAibu ya nini sasa
Halafu anakwambia ofisini kwake ni mwendo wa kiingereza just "quite" na anaamini anajua kiingereza.If you can't answer in Engilish just quite? 😂😂😂😂 Ndio maana wakenya na wanaijeria wanatudharau 😂
Kama Kiingereza chako unachokitolea macho huko ofisini nd'o hiki ni "broken" sana mkuu.Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Hicho nd'o Kiingereza anachowasumbulia huko aliko mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23]If you can't answer in Engilish just quite? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio maana wakenya na wanaijeria wanatudharau [emoji23]
Yani me ningekwambia we em tutolee kiingereza chako cha Msasani Primary.Leo bwana nilikwenda supermarket moja hivi, nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo kwani mbele kulikuwa na mteja ambaye anaongea English, Kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia na muuzaji nae Kiingereza hajui, niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa Kimakonde na kaolewa na mzungu, anajua Kiswahili vizuri tu nahisi kushinda Kiingereza chenyewe.
Nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini, huyu dada nilishawahi hata kucheza naye pool table ni Mswahili kabisa na ni Mmakonde kwa wazazi wake Mikoroshoni, kasoma Msasani Primary School.
.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, ...
/QUOTE]
Sasa Kiingereza chenyewe ni kama hicho, unajibaraguza nini kama siyo kujiaibisha?
Vv
"Excuse me, who do you think you are??"[emoji16]I can't get over the way you behaved in front of that lady at the supermarket. It was so embarrassing.
Kimombo ka kimombo Faamasiala ww🤣🤣🤣Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Aaggrrr.... Watch out your choes🙄🙄Ungemkanyaga kwa makusudi mguuni uone kama ataweza kusema "umenikanyaga" kwa kiingereza 😀🙂
Who I am doesn't matter. What matters is what I can do to you. I can make you defecate your intestines. Watch out!"Excuse me, who do you think you are??"[emoji16]