Habari yafo kibobori?Na huyo dada kafanya makusudi ili kuonyesha umuhimu wa kiingereza.
Mmmh umeandika kiingereza cha wapi hapo mkuu!!?Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Hapo ni swala la lugha au hela? Mnawachukia sana wenye hela, kiasi mnawaingiza hata kwenye mambo wasiyohusika nayo.Huyo ana mental slavery... Msamehe..
Kakuta hela ukubwani.
Kuzungumza lugha ni chaguo la mtu, kuna watu wana kipaji cha kuzungumza lugha zaidi ya 5Leo bwana nilikwenda supermarket moja hivi, nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo kwani mbele kulikuwa na mteja ambae anaongea english, kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia na muuzaji nae kiingereza hajui, niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa kimakonde na kaolewa na mzungu, anajua kiswahili vizuri tu nahisi kushinda kiingereza chenyewe
Nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini, huyu dada nilishawahi hata kucheza nae pool table ni mswahili kabisa na ni mmakonde kwa wazazi wake Mikoroshoni, kasoma Msasani primary school
Huko ofisini kwako jihudumie mwenyeweSasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Mm sijaona aibu hapoLeo bwana nilikwenda supermarket moja hivi, nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo kwani mbele kulikuwa na mteja ambae anaongea english, kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia na muuzaji nae kiingereza hajui, niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa kimakonde na kaolewa na mzungu, anajua kiswahili vizuri tu nahisi kushinda kiingereza chenyewe
Nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini, huyu dada nilishawahi hata kucheza nae pool table ni mswahili kabisa na ni mmakonde kwa wazazi wake Mikoroshoni, kasoma Msasani primary school
wee nahuyo dada nimachizi.Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
SAWA !!!!!! TATIZO ENGLISH YENYEWE HAWAJUI VIZURI NDIYO KAMA HIVYO WAKIONA MTU AJUI KABISA NAO WANA MKOMALIA KISHENZI KUTAKA KUMDHALILISHA!!!!!!! TENA WENGI WAO KITAAALUMA ZERO KABISA , HATA HIVYO KUNA TAFITI ZILIONYESHA LUGHA YA KINGEREZA KWA VIJANA WA KITANZANIA NI SHIDA KUPELEKEA KUKOSA AJIRA KWENYE MASHIRIKA YA KIMATAIFA!!!!!! SASA KWANINI KWENDA KUJIBARAGUZA KWA DADA WA SUPERMARKET???????Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
π€£π€£π€£π€£πUngemkanyaga kwa makusudi mguuni uone kama ataweza kusema "umenikanyaga" kwa kiingereza ππ
"If you can't answer in English, just quite"Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Jamaa ni kiazi mpaka aibu nimeona mimi...If you can't answer in Engilish just quite? ππππ Ndio maana wakenya na wanaijeria wanatudharau π
Mwenyewe kajiona anakijua kwelikweli...aisee hata kama ndo kingereza kama ungebonga hiki chako hapo supermarket wangekucheka
Natamani kuijua hiyo shule nisijefanya kosa kumpeleka mwanangu hapo...Wewe utakuwa mwalimu wa primary school
Ungemsalimia kwa kiswahili huku ukitaja kabisa jina lake ili watu wajue kuwa unmfahamu fika na kwamba unafahamu kuwa anajua kiswahiliLeo bwana nilikwenda supermarket moja hivi, nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo kwani mbele kulikuwa na mteja ambae anaongea english, kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia na muuzaji nae kiingereza hajui, niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa kimakonde na kaolewa na mzungu, anajua kiswahili vizuri tu nahisi kushinda kiingereza chenyewe
Nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini, huyu dada nilishawahi hata kucheza nae pool table ni mswahili kabisa na ni mmakonde kwa wazazi wake Mikoroshoni, kasoma Msasani primary school
Labda anajipimisha kuwa anaweza kuwa fluent Kingereza. Maana wadada wengi wao wanajua sana "LOL" "OMG" "Fuct me harder" "slap that ass" and I am cumingg
Ni mjinga tu aibubgani uone wewAibu ya nini sasa