Leo nimepewa sifa mpaka nikajiona ni mimi tu

Wakuu,najua mko poa kabisa

Leo hii asubuhi nimepita kwenye mgahawa moja hapo kariakoo,nikasema ngoja nitafute supu nipige alafu niendelee na mambo mengine,

Nikawa naingia ndani ya mgahawa,nikakutanisha macho 2 macho na dada moja hivi mkali,yaani ni mkali ,nilivomtazama tu nikashangaa tu nimetoa tabasamu matata,dada wa watu naye akaunganisha bonge la tabasamu ,nadhani hii tabasamu lake ni la kufungia mwaka,

Sasa nikashangaa baada ya pale nikajua labda ananifahamu ,acha nupewe sifa na yule dada,hakika zile sifa sijawahi kupewa na dada yoyote toka nimezaliwa jamani,

Mwanaume nikabaki najiona mwanaume mbele ya wanaume wenzangu waliokuwa mle ndani,

Kwa hiyo ndo hivyo tu,

Niwatakie maandalizi mema ya mwaka mpya,

J Putin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah

Leo huenda siku yako umeianza vyema sana. Lakin haikupaswa kitu kidogo tu kama hicho had ukielezee humu
Nyie ndo ma GT wa humu jf so uzi kama huu m naona haukuwa wa kuletwa na mtu kama ww mkuu,

BTW vipi kesi yako na elza ulisema kweli had January ndo inaanza kusikilizwa eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ungeweka wazi aina ya sifa ulizopewa, maana kuna baadhi ya sifa kwa mtoto wa kiume ni kama kutukanwa mathalan ikiwa amekusifia kuwa una figure namba 8 hapo sio sifa tena bali ni tusi.
Pia ungeweka wazi kuwa baada ya sifa zote kama bili yake uliilipa wewe pia maana dhahiri hapo haitokuwa sifa tena bali umechunwa.
 
Wakuu,najua mko poa kabisa

Leo hii asubuhi nimepita kwenye mgahawa moja hapo kariakoo,nikasema ngoja nitafute supu nipige alafu niendelee na mambo mengine,

Nikawa naingia ndani ya mgahawa,nikakutanisha macho 2 macho na dada moja hivi mkali,yaani ni mkali ,nilivomtazama tu nikashangaa tu nimetoa tabasamu matata,dada wa watu naye akaunganisha bonge la tabasamu ,nadhani hii tabasamu lake ni la kufungia mwaka,

Sasa nikashangaa baada ya pale nikajua labda ananifahamu ,acha nupewe sifa na yule dada,hakika zile sifa sijawahi kupewa na dada yoyote toka nimezaliwa jamani,

Mwanaume nikabaki najiona mwanaume mbele ya wanaume wenzangu waliokuwa mle ndani,

Kwa hiyo ndo hivyo tu,

Niwatakie maandalizi mema ya mwaka mpya,

J Putin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mtu anayekupa sifa bila sababu, hapo unaandaliwa kupigwa za kichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom