Nina mke huwa ninasafiri kwenda nje, mara nyingi huwa mke wangu hana kawaida ya kuangalia ile begi yangu ambayo huwa nasafiri nayo lkn leo kaichek kaona paket 2 za condom nifanyeje wadau, nisaidieni utetezi hapo
Kwani hizo condom ziliingia kwa bahati mbaya kwenye begi lako??
Kama ni wewe uliziweka, hakika jibu unalo wewe mwenyewe.
Sisi tunasubiri thread ya "Nimeachana na mke wangu baada ya kukuta condom kwenye begi".
Mwambie kwenye semina uliyokuwa umeenda mlipewa mafunzo ya ukimwi, so baada ya mafunzo wa kawa wanagawa hizo kondom, ndo na wewe ukazichukua kama washiriki wenzako walivyofanya. Ila kama zote zipo ful hujazitumia. Pole sana
Kwani amekugombeza ama amekuulizia kuhusiana na hizo condoms,lkn hata hivo na wewe condom za nini wakati wa safari ilihali wewe ni mume wa mtu na bahati mbaya zimepungua zimebaki mbili huna ujanja leo lazima ujipange sana la sivo hakulaliki
Mwambie kwenye semina uliyokuwa umeenda mlipewa mafunzo ya ukimwi, so baada ya mafunzo wa kawa wanagawa hizo kondom, ndo na wewe ukazichukua kama washiriki wenzako walivyofanya. Ila kama zote zipo ful hujazitumia. Pole sana
well said....mtu na akili zako timamu, condom za nn kwenye begi kama si kujikinga na udhaifu wako?
kuwa mkweli...vishawishi ni vingi nowadays...
talk to her slowly!!
Nina mke huwa ninasafiri kwenda nje, mara nyingi huwa mke wangu hana kawaida ya kuangalia ile begi yangu ambayo huwa nasafiri nayo lkn leo kaichek kaona paket 2 za condom nifanyeje wadau, nisaidieni utetezi hapo
huko nje huwa unafata bidhaa kama zipi? kama ni kondom shehena zima lilikuwa na pakati mbili tu? au huko nje kuna nyumba ndogo? tulia kwa mke wako au uliambiwa mkeo hutomkuta nyumbani ukaja umEjiandaa kusaka ma-CD ukweli unao mwenyewe usituchoshe sie..ebo!:A S angry: