Leo nimemuona yule Mtoto

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,901
Reaction score
14,611
Naam ni yule mtoto wa chekechea,,ambaye mama yake alimuombea kwa mwalimu ili aweze kwenda Hospitali,
Bakhti mbaya yule mama alifariki na kwao hakujulikani.

Huyu mama alizaa na yule bwashee niliyewajuza,,, bakhti mbaya huyu bwashee hakuwahi mpeleka mkewe huko mgombani/mlimani,,,,,,

Na bakhti mbaya zaidi bwashee alipoteza maisha ile siku ilee ambayo kuitamka napata maumivu MAKUBWA sababu hakuwa mwana siasa,,,,wala hakuwahi kujihusisha na lolote linalohusu mambo hayo.

MUNGU ANAONA.
 
Tufungulie code mkuu, bado sijaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…