Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
CCM inalewa madaraka(dola) ila upinzani hawajui cha kufanya!
Kama Bashiru alivyosema bila hii chupa ya dola hakuna kilevi
😂😂😂Mchawi akizidiwa na confidence, hata Mchana anatembea uchi wa Mnyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka niliposoma hicho kinywaji kipya:"the fake confidence"!(konfidensi fekero)😜Mchawi akizidiwa na confidence, hata Mchana anatembea uchi wa Mnyama
Sent using Jamii Forums mobile app