Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

Leo Nimemdhamini Mwanamke Laki 5-- Sijui Itakuaje

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
723
Reaction score
569
Wazee wenzangu haya mambo bwana hayaitaji elimu kwa kweli ni yapo Naturally tu, kwa maana ya kwamba elimu kila siku humu inatolewa tusigawe pesa kwa wanawake ambao si wake zetu lakini mimi nimepuuza.
....
Ni Hivi, uyu msichana nafanya nae kazi na tumekutana hapo wote wageni. Lakini ndani ya muda mfupi sanaa tumetokea kuivana yanii best best rafiki wa ukweli kiasi kwamba siku aliyoniambia hivyo ikabidi na mimi nitafutee gia namba moja ya kuanzishia mwendo wa mapenzi hapo hapo.
....
Ni mzurii kwa kwelii na mimi nimemuelewa lakini hadi leo hajatoa msimamo wa moja kwa moja kama anakuja lakini sign anazionesha kuwa nae kazimika (N:B hawatabiriki)
...
Sasa juzi kaja na habari kuwa kwao kuna mtu ni mgonjwa sanaa na amejarbu procedure zote za kusaidia lakini ameFail kwenye pesa, basi kidume apo nkajua tu kuwa mimi ndio naombwa izo pesa maana nilimuambia sasa si ukope kwa best yako akasema hawezi kukopa kwa watu wa pale kazini zaidi ya mimi sasabu hawajazoea kama alivyonizoea mimi
....
Wazee nimemtumiaa lakini najiuliza kama hata kuna chochote ntaonja, au ananipima kweli ubest wetu, au atanirudishia, au ndio rafiki kusaidiana katika shida na raha
...
 
Back
Top Bottom