Leo nimekutana na mwanamke wa JF kibiashara, ni Mzuri ile mbaya

Mimi ndimi?

eeebana leo nimemeet na mwanadada mmoja hivi wa humu jf, ilikua tumekutana kibiashara tuu, kuna eneo lake alikua ananiuzia, kilichonishangaza ni uzuri wa huyo mwanamke aseee, type za wakina hamisa kabisa asee, yupo poa kila idara.

kwanza ilibidi nimuulize "wewe ndio H au kakutuma tuu umuwakilishe???!!

duhh! hicho kicheko chake sasa " hihihhihiii ndio mie H"

duh! ilibidi niliache hilo lipite kwanza tuongee masuala yaliyotufanya tukakutana.


huyu dada hachangiagi sana mada hapa, na jina aliloweka ni kama la kiume, nadhan kaamua kufanya hivyo ili kuepuka usumbufu wa mafisi wa hapa Jamvini, maana yupo vizuri.

nashukuru biashara imeenda sawa, wewe ni mrembo sana.


hapa ndani kuna visu lakini havina tambo vipo cool sana wazee.
Picha weka
 
Sawa kwa kumsifia mwanaJF mwenzetu,ila usimtamani na kama umemtamani umeshatenda dhambi...
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom