Leo nimekutana na kizaa zaa

Oscar Lyrics

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
2,945
Reaction score
5,039
Nikiwa nimekaa zangu sehemu nimetulia, Sina hili wala lile mara simu inaita kucheki namba ni ngeni,
Ikabidi nisogee pembeni ambapo hakuna kelele ili niweze tuweze kuelewana vizuri,

Baada ya utambulisho nikagundua ni jamaa mmoja ambaye namfahamu tunaishi nae mtaa mmoja japo sijawahi kuwa na mazoea nae hata kidogo.

In short jamaa ni papai au kwa lugha nyingine tuseme ni Bwabwa, Siyo lazima uwe na D 2 ili uweze kunielewa,

Jamaa anachohitaji kwangu eti anitoe out ili tuweze kuongea vizuri, eti ametokea kunielewa, kwa upole nikamwambia sifagilii hayo mambo ya kula kisamvu cha kopo, yani hayo siyo mambo yangu.

Baada ya kuona jamaa hanielewi ikabidi nimchenjie mbaya kabisa nikamwambia nani kakupa no yangu anasema siyo muhimu mimi kujua, so nimemkaripia sana, naamini hatarudia tena kunisumbua.

Au nimezingua wananzengo?
 
Umezingua sana, kwanza shindwa pepo
 
Mkuu hilo ndio lakuja nalo huku na tena unauliza kabisq kama umezingua au lah..
Kifupi hapo mwanetu ni "staki nataka" huyo choko akikukazia kidogoo tu unaenda kuvunja hiyo amri ya 11..🤬🤮🤮🤮🤮
 
Mkuu hilo ndio lakuja nalo huku na tena unauliza kabisq kama umezingua au lah..
Kifupi hapo mwanetu ni "staki nataka" huyo choko akikukazia kidogoo tu unaenda kuvunja hiyo amri ya 11..🤬🤮🤮🤮🤮
Siwezi kujichanganya mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…