Leo nimekula nyoka, mtamu!

Mm ni mwanaume wa shoka na huwa siogopi chochote chini ya jua tofauti na ulemavu;hata kifo huwa sikiogopi lakn,nyoka nawaogopa sana kwa kuwa ningali mdogo kuna mdada aling'twa na nyoka mweusi na alioza kuanzia kwenye unyayo wa mguu wa kulia mpaka juu karibia na 'K' so,nyoka nawaogopa sana hata kwenye picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kitu huwa naitamani sana kuila. Ni wapi hapa bongo naweza kupata kitoweo cha nyoka? Nazungumzia hoteli au cafe yyte
Aisee kwa Tz cjawahi kujaribu as migahawa ya wachina au watu wa bara Asia hope cku hizi wanaogopa serikali. Supu ya chatu mara ya kwanza niliikutaga makambi ya wakongo huko Kigoma japo ckuionja na nilipata kinyaa balaa.

Chatu roast mwingine nilimkuta kwa wabembe wa asili ya Zaire mwambao mwa ziwa Tanganyika, huko pia ckula.

So, endelea kutafuta utampata tu! Nyama yake is just like fish!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila nyoka analiwa....siku ingine ukienda mgahawani mwambie akuambiw na ugumu wa hiyo kazi ya kuwakamata kuwafuga mpaka stage ya kufungua mgahawa na watu wakaenda kula...kufuga nyoka ni mtihani kama kulima mpunga tuu, unateseka mwanzo mwisho alafu mtu wa mwisho ambaye ni mlaji ndio anaona kama ni vitu simple simple tuuu.
 
Kwa kweli hata mie kwenye kuwafuga mmmh, hapana! Labda nipitie intense training

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitumia kipimo gani kujua kuwa ni nutritious papo kwa papo,sili hata unipige,unajua hii kulakula kila kilichokaangwa vizuri ndio maana baadhi ya wachina wamefikia mpaka kula nyama za watu..
 
Uoga wa watu ikiwa muhaya anakula senene asiye na nyama akaona ajabu kula nyoka ye ubaki wa ajabu zaidi kula senene.

Vilevile wala kumbikumbi, dagaa, panya mtu anakula panya anashindwa kula chatu aliye sheheni minyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…