Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

Huyo akijulikana mwezi wa tatu haifiki ataishi kama shetani
 
Acha kujipa stress rizika na ulichonacho huyo unayemwona kwenye Hammer nae anatamani awe na private jet ila hawei kuipata na mwenye private jet nae anatamani awe na kisiwa chake cha peke yake ila hawezi.
 
Sinafuu wewe hata unakijigar cha ndugu yako! mwenzio sina hata baskel! bado nalisongesha!! ila sijakataa tamaa!
Kweli mkuu tukaze jamaa yangu..! Dharau kubwa town bila gari mademu wanatudharau sana..!
 
mkuu sio kweli,wanazo wengi tu hapo mjini...hii hammer ya clara anakaa mbezi pwani huko karibu na bahari beach(mbezi pwani ni jina jipya tunalitumia tunaoishi ukanda wa bahari huku mbezi beach)mitaa ya sykes..
Ni mdada mwenye nayo eti???
 
Acha kujipa stress rizika na ulichonacho huyo unayemwona kwenye Hammer nae anatamani awe na private jet ila hawei kuipata na mwenye private jet nae anatamani awe na kisiwa chake cha peke yake ila hawezi.
Asante kwa kunitia moyo aisei..!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…