Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,457
12,668
Yaani leo nikiwa town nafanya fujo na kijigari cha ndugu yang kiji-RAV4 cha ndugu yangu, si haba kinanisaidia napatapata magoma mjini Mungu ni mwema,

Sasa nikatoka kuchimba somewhere chaka moja, namkwara mkubwa mara ghafla nikaona mdada mdogo kabisa umri wa kuwa mdogo wangu mara kazamia lile chaka na MNYAMA HUU HAPA CHINI


Niseme ukweli nimejihisi baridi ghafla na huyu mdada anavyolipiga lesi hili dudu kanitia hasira sana, hatua ya kwanza lazima ni angalau niliendeshe kulimiki ni majaliwa ya Mungu..! Nimejihisi uchungu mkubwa sana.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…