NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,075
- 19,286
Hong Kong Hotel Dar Es Salaam
Rainbow Hotel Dar Es Salaam
Nimefurahi umekubali kwamba nililosema lina ukweli. Hayo mengine ni personal opinion na hayana maana kwa sasa. Ahsante.unajua hata kama unalosema lina ukweli lakini linakosa mashiko kwa vile limeletwa na wewe famous Hater
Five Star Hotels nilizoona kwenye ile thread.Imejidhibitisha wazi.
Dar has 2 or 3 five-star hotels.
The rest are lodgings, guest houses, brothels, and 'bar & rest'.
unafurahia kuambiwa ukweli?kusema ukweli mimi ningekuwa Mkenya nisingetumia hata sekunde yangu moja kubishana na Watanzania kwamba nchi gani imeendelea zaidi, Kenya iko mbele zaidi tena kwa mbali na zipo sababu nyingi za kimatukio zilizoiweka Kenya mbele!!Nadhani wakenya mlitakiwa muwe mnabishana au kushindana na South Africa na Nigeria na Nchi za Kaskazini Mwa Afrika,nayaona makenya yote yanayobishana na watanzania ni majinga ukiwamo wewe NairobiWalker....Kenya is far ahead of TanzaniaNimefurahi umekubali kwamba nililosema lina ukweli. Hayo mengine ni personal opinion na hayana maana kwa sasa. Ahsante.
Hyatt regency (Kilimanjaro )iko poa bt zingine haziwezi ku compete na kina ibis hotel π±π±ππFive Star Hotels nilizoona kwenye ile thread.
1. Kilimanjaro
2. Serena
3. ......
Wakenya na nyie kausheni basi.. Hizo hotel za nini wakati watu wengi maskini tu watumiaji wa hotel wachache mpaka nyingine zinabadilishwa kuwa hostel za wanachuo [emoji23] [emoji23]
Usicatch feelings haraka kama petrol na nari.. Soma tena kitu nilichoandika uelewe. Ukiona huelewi waombe wenzako wakuelewesheZilizobadilishwa labda hizo guest house zenu.
Hiyo pekee ndio hoteli ya maana huko. Ramada inajaribu pia ila vitu zingine tumepostiwa hadi karibu mbavu zivunjike. Ona hii sasa. Hii ni guest house ya watu maskini bwana, sio tourist hotel.Hyatt regency (Kilimanjaro )iko poa bt zingine haziwezi ku compete na kina ibis hotel π±π±ππ
Cornrad Hotel Dar es salaam
Weka picha tuzione. Maneno tu hayataonyesha the real picture. For example, Atlantis hotel ndio hio eti 5 star.ππππDouble tree by Hilton
Seacliff
Serena
Hyatt regency
Protea amani beach
Protea courtyard
Ramada resort
Golden tulip
Best western coral beach
Atlantis hotel
Ledger plaza
Hizo hapo zote ni 4 na 5 star
Na bado zipo nying nyingine ukitaka tuendelee
Mi nawabandikia budget hotels mingi ambazo zikienda dar zitakua 5* kina tune na Concorde hotel alafu wao wanaeka lodging kama Zile za riverroad za kupeleka chips fungaπππDar jaina kitu kwa nairobi aiseeπππHiyo pekee ndio hoteli ya maana huko. Ramada inajaribu pia ila vitu zingine tumepostiwa hadi karibu mbavu zivunjike. Ona hii sasa. Hii ni guest house ya watu maskini bwana, sio tourist hotel.