Leo nimeamini tamthilia za filipino na mexico na bongo movies zinaharibu wanawake

Hivi wanaume Ubabe mbona unawazidi?? Alishindwa nini kumwacha akaondoka? Kulikuwa na ulazima gani kumpiga vibao? Inakera sana
 
""WOMAN U ARE NOT A CRIPPLE, U CAN OPEN THE CAR FOR UR SELF"" u need to do something to expect something and put in mind papuchi aint all that.

Ukiwa mdogo baba anakwambia treat women like angels, treat women like queens,and all bunches of shittt like that. but ukikua na ukakutana nao ndo utajua baba yako alikudanganya kwa kiasi gani.

better if she is your wife but its crazzzy!!! men do a lot to impress women but when was the last time u saw woman doing something to impress u?? a lot of women expect u to go extracurricular for them while themselves cant do for u. and some pathetic man-ginas are buying that, they do all crazy stuffs,spending a lot of money just because they wanna get laid and just because they wana impress a night stand. HELL NUH!! my house is not a theater. remember u gona get what u deserve i cant give XXL when L fits u.
 

GIVE EM THIS MSG!!

""WOMAN U ARE NOT A CRIPPLE, U CAN OPEN THE CAR FOR UR SELF"" u need to do something to expect something and put in mind papuchi aint all that.

Ukiwa mdogo baba anakwambia treat women like angels, treat women like queens,and all bunches of Bullshittt like that. but ukikua na ukakutana nao ndo utajua baba yako alikudanganya kwa kiasi gani.

better if she is your wife but its crazzzy!!! men do a lot to impress women but when was the last time u saw woman doing something to impress u?? a lot of women expect u to go extracurricular for them while themselves cant do for u. and some pathetic man-ginas are buying that, they do all crazy stuffs,spending a lot of money just because they wanna get laid and just because they wana impress a night stand. HELL NUH!! my house is not a theater. remember u gona get what u deserve i cant give XXL when L fits u.
 
ni kweli usemacho tafadhali toa somo tupone.
 
Kichwa cha jamaa huyo kibovu
Sababu ya kumpiga ni ipi?? Mbona kakurupuka hivyo?

Yani kama amekasirika sana bora angeingia kwenye gari akaondoka tu peke yake kuliko mambo ya kupiga loh
 
Naona na wewe ni muathirika wa tamthiliya kwa kutuletea story ya kitamthilia.
 

manyimbo hilo nalo neno..
 
Last edited by a moderator:
Hasira. Dada yake kapata ajali kwenye bodaboda anataka hawai. Wife analeta mapenzi ya kwenye tamthilia
Money Stunna hapo sio kuhusu mapenzi ya kitamthilia ila ni jambo la kawaida sana kwa mume kumfungulia mkewe mlango wa gari ni wonyesho wa upendo wa hali ya juu na kuonyesha kujali,sema wife naye alikosea jambo moja tu alitoa request yake kwa wakati mbaya wakati ambao seriousness ilibidi ichukue nafasi yaani kwa ufupi hakuwa matambuzi alitaka aonyeshwe mapenzi katika muda ambao sio,ila ingekuwa ni kawaida its very normal kwa mwanamke kumtaka mumewe amtreat in a special way.

na kwa huyo rafiki yako nadhani hajielewi kabisa hilo sio kosa la kumpiga mkewe,labda kwa excuse ya kuwa alikuwa confused na zile taarifa,na kama ndo hivyo mbona aliweza mpaka kukupigia simu na kukueleza yote hayo kukupigia simu ndo hakuwa confused au?at least angemignore na kumwacha kama alivyo akaenda zake bila kusema chochote halafu wayamalize baadaye,sasa jamaa ndo akaamua kumpiga makofi mkewe!!!!!!!!!!!!!
 
uuuuuupsi....
hivi ypo serious oo??/
this is too much bhana mapenzi sio hdi kufuguliwe mlango whle anajua wanaenda hosptal kuona mgonjwa angesoma alama za nyakat na sio aombe....tunajiendekeza sisi wanawake filamu zaweza kuchangia ila wengine tabia zao hawajajitambua
 
Ha ha ha! hiro rijamaa ritakuwa ni rikurya tu!!
Dada tuombe radhi Wakurya wote. Jamani ss ni watu wema sana ila basi watu wachache wanatuharibia. Mfano njoo mm nikuoe uone tulivyo husband material kuliko hilo kabila lako.
 
Haka kamsemo kana ukweli

Ukiona mwanaume anaeshuhulika kumfungulia mkewe mlango wa gari its either "the car is new or the wife" nje na hivyo ni HAKUNAGA HAYA MAKITU IN REAL LIFE
 
Cjaona Kosa La Kupigiwa Kwan Mda Alokua Akimpiga Cangefungua Tu Mlango!

Kichapo ilikuwa muafaka,hapo ilikuwa dharura mapozi ya nini!Ingekuwa ni mama au ndugu wa huyo dada angewahi kuingia kabla ya mume.Ni mbaguzi tu huyu asiejua kila jambo na wakati wake.
 
Na yeye ya kupiga wanawake ameharibiwa na nini ?

Tena bora yeye ndio aangalia hizo movie (kama kweli zinabadilisha) huenda akabadilika na kuacha kuishi kama yupo kwenye Jungle au Zama za Kale
 
Nimeshaanza kuwaamini niliowahi kuwasikia wakisema kuwa ukiona Mzungu anamfungulia mkewe/mpenzi wake mlango ujue ni mapenzi hayo, lakini ukimuona Mwafrika anamfungulia mkewe/mpenzi wake mlango ujue huo mlango ni mbovu!!
 
Utakuta jamaa alikuwa anamfanyia hivyo kabla hajamuoa kwahyo mamaa akataka aendeleze mambo ya masong ya kihindi kufunguliana milango ,kukimbia kwenye maua ,madeko .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…