Leo nimeambiwa mzuri pesa

Leo nimeambiwa mzuri pesa

Status
Not open for further replies.
Wakuu leo nimekutana na mtoto mzuri nikaona usiwe taabu acha niongeo naye kdgo hata namba niombe ikiwezekana nitupie maneno yangu siku zijazo.

Duuh nimeongea naye vzr kabsa bila tabu sasa nimeomba namba pia nikapewa bila kinyongo nkajua hii kulaini kumbe loooh ningejua.

Mazee nimemcheki kwa text muda wa saa moja na nusu hajajibu nimampigia akapokea tukaongea vzr tu shida inakuja baadae analalama simu mbovu simu yake kesho anataka aipeleke kwa fundi weeee nkajua kizinga hiki kinakuja hata kabla sijatupia maneno ya kuomba shimo la panya mapema yote hii.

Nikamchana mama mm pia hali yangu sio poa haahhh nilichojibiwa mzuri pesa tu. Sijalewa sijaelewa sijaelewa
Irudiwe hiyo
 
Pole sana, ana maana kwamba inayopendwa hapo ni pesa na siyo wewe...
 
Ni kweli pesa uongeza mzuka fulani ivi.Msiwe wachoyo bas
 
Flat screen na maneno ya uongo. Baba angu mjeshi, nasoma nursing. Nilikua napeleka simu kwa fundi. Mimi bado bikira simjui mwanaume. Ninunulie soda (nikajitoa ufahamu nikatuma 5000, weeee!! Nikageuzwa sponsor. Kwaa wiki anaugua mara mbili. Nikamwambia ile 5000 ndio ilikua akiba yangu niliohifadhi mwaka mzima. Akaniambia sijui kuosha ♧. Nikamjibu fresh, hizi pesa ni kwaajili ya familia yangu na sio kuosha ♧.)
Yaani tunauzia kitu amabacho na wao pia wanauhitaji dawa tukilipia inabidi uipoge kweli mijeledi mpaka ilie pwaaah pwaaah pwaaahhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom