Leo nimeaibika sana

Hakika huwa ni Aibu kubwa.... Pole mzee...Nishakutana na hali hiyo
 
Ulikuwa na hofu mzeee.

Ulivyokubaliwa kimasihara, ukaona naenda kupewe gonjwa nin?? Au ni malaya nin?? Mmmh negative feelings zimekimbizana na kuteka makao makuuu ya akili na hisia,... Lazima Jogooo asianze kuwika kaona bado giza jingi
Ukiwa kwenye hali hyo ndo kapombe huwa kanahitajika sasa ili kakuweke sawa
 
Ndio uanaume lakini kumbukumbu wewe si wa Kwanza, Jogoo kushindwa kutamba alfajiri.
 
Mkuu ni aibu kubwa mbele ya binti
Ni moja Kati ya kipindi kigumu ambacho hupitia baadhi ya wanaume kwa sababu maalum lakini lisikufanye ukajishusha au kujiona hauna thamani la msingi tafuta njia ambazo zitakufanya kurecover.
 
Wachawi Watakuwa wamekuibia mashine wamekuwekea konokono japo wewe unaona una mashine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…