Leo nimeaibika sana

Ulikuwa na hofu mzeee.

Ulivyokubaliwa kimasihara, ukaona naenda kupewe gonjwa nin?? Au ni malaya nin?? Mmmh negative feelings zimekimbizana na kuteka makao makuuu ya akili na hisia,... Lazima Jogooo asianze kuwika kaona bado giza jingi
Mtoto nilikuwa namtamani siku nyingi mkuu Basi tu, naona umri umeenda au pombe
 
Mzee baba...

Kama unampango wa kumla tena. Mtafute hlf admit kuwa kuna ktu hakikuwa sawa, blah blah blah...

Hlf omba tena cku nyengine.

Shida na performance anxiety ni kwamba stress inakupelekea usiperform na usivyoperform unaongeza stress za kwann hauperform basi ndo hauperform tena na tena.

Usione soo, sema nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole sana mkuu!usirudie tena kupiga punyeto soon utakuwa gasho


Sent using IPhone X
 
Huu Uzi ndio uzi wa mwaka.
Pole
 
Fanya siasa mapenzi huyawezi.
Miaka 16 toka niwajue wanawake sijawahi uza mechi aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…