MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
hahaha. 🤣 🤣 mwenziyo anadhani ni gundu!
Msamehe, balehe inamsumbua.🤣🤣Hauoni aibu
Najisikia aibu Sana, nikikutana naye Tena itabidi nizibe suraHauoni aibu
CCM na watu wasiojulikanaWe jamaa katika maisha yako kuna kitu kinakupa khofu?
Hali hii iliwahi nikumba miaka kadhaa iliyopita. Mdada nimemng'ang'ania kweli kwa muda mrefu. Akakubali tukatoka out for a date mahali fulan tulivu. Tukafanya order ya vyakula na vinywaji kisha tukajikuta chumbani. Hakika mzee kagoma usiku kucha. Tulijaribu mbinu zote zile kumwamsha mjulubeng lkn wapi. Nilishindwa na kazi muda huo wote hadi asubuhi. Nilisepa alfajiri nkamuacha binti chumbani akilala. Urafiki wetu uliishia hapo hadi wa leo. Tatizo la kiafya mm sina. Sina jibu hadi wa leo kwa lililotokea usiku huo. Kwa hivyo braza, tukio hilo hutendeka kwa wengine pia. Usife moyo.Kuna binti wa chuo nimemfuatilia kwa muda mrefu wa miezi mitatu hivi, kwa bahati nzuri leo nikakutana naye amekuja kusalimia kwao, nikamuomba Kama utani hivi tukaongee kidogo gesti ya jirani, akanikubalia kirahisi tu tukaenda naye gesti, aisee yaani nilikuwa na usongo kishenzi, Ile tumefika, tumevua nguo jamaa yangu akagoma kusimama, yaani nimehangaika mpaka binti akachoka kusubiri, yaani nimejisikia vibaya mpaka aibu, binti wa watu akavaa nguo zake akaondoka, nimebaki na aibu tu
Rafiki tukaongee kidogo gesti ya jirani!Hauoni aibu
Kipindi kirefu mkuuMiezi mitatu ni kipindi kirefu?
Mwenzako nimeaibika wewe unasema shukuru
Ulikuwa na hofu mzeee.Kuna binti wa chuo nimemfuatilia kwa muda mrefu wa miezi mitatu hivi, kwa bahati nzuri leo nikakutana naye amekuja kusalimia kwao, nikamuomba Kama utani hivi tukaongee kidogo gesti ya jirani, akanikubalia kirahisi tu tukaenda naye gesti, aisee yaani nilikuwa na usongo kishenzi, Ile tumefika, tumevua nguo jamaa yangu akagoma kusimama, yaani nimehangaika mpaka binti akachoka kusubiri, yaani nimejisikia vibaya mpaka aibu, binti wa watu akavaa nguo zake akaondoka, nimebaki na aibu tu