Leo ni weekend una mpango gani na mpenzi wako

Leo ni weekend una mpango gani na mpenzi wako

sijaenda beach siku nying nafkir!haitakuwa mbaya.

Wifi snowhite mzima wewe? mie na mume wangu watu8 tulishinda chini ya muembe wenye kivuli mwanana tukipata maembe matamu na juice ya ukwaju huku tukusimuliana hadithi za hapa na pale
 
Last edited by a moderator:
kilele cha kilimanjaro

sie huku mbegese tunafanya 'goat chasing' au 'cow racing'

Is there any place favourable for skiing in Tanzania?
I would like to ski with my mamsup
 
shooting ya mashuti ya mpira?

Maana risasi hamna, na Burundi hawauzi tena, sasa hiyo risasi moja bora nikawindie ngiri?

Indian ocean " what about fiship rope " .you can take your wife shooting " at shooting range it is so cool
 
shooting ya mashuti ya mpira?

Maana risasi hamna, na Burundi hawauzi tena, sasa hiyo risasi moja bora nikawindie ngiri?

I love guns na Leo I'm going to shoot " at the shooting range".Raha kama nini .bongo nako
 
Back
Top Bottom