Leo ni Super Human Day

Leo ni Super Human Day

Huzurungi Tz

Member
Joined
Sep 5, 2020
Posts
12
Reaction score
5
Leo Dunia inaadhimishwa Super Human Day ambayo ni siku maalum ya kuwatambua watu ambao ulemavu haujawazuia kufanya mambo makubwa kwenye jamii.

Embu Kama Mwana Jamii Forum Embu Mtaje Mtu Mwenye Ulemavu Aliyewai/Anayefanya Mambo Makubwa Ili Wengine Wamjue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom