leo ni siku yangu ya kuzaliwa

leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Jeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
1,973
Reaction score
372
Habari wakuu, leo nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa
namshukuru sana Mungu kwa kunilinda hadi siku ya leo.
pia shukurani nyingi kwa wazazi wangu.
 
Mwenyezi Mungu akupe hekima na busara uishi vizuri na kila mtu. Hiyo ndiyo furaha kuu wakati wa uhai na baada ya uhai..
HBD buddy!
 
Mungu akusaidie uishi uwaone watoto wa watoto wa watoto wako...
 
Mungu akupe maisha mema na marefu happy birthday Jeji !
 
ahsanteni wakuu, pamoja sana.
 
Back
Top Bottom