KUNDULE
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 318
- 177
Nipo kituoni toka sa kumi na mbili nasubiri kujiandikisha nipate tiketi ya kuiondoa CCM.Ila tukio hilo hapa Dodoma limefanywa siri kubwa ndio maana mpaka sasa kituoni nipo peke yangu ila baada ya kujiandikisha naenda kuhamasisha. UPDATE:kwa mara nyingine tena serikali imeendelea kutufanya watu wa dodoma matahira baada ya kuhairisha zoezi hilo leo mpaka watakapotangaza tena.tutaelewana tu october