Jina lako kweli nimeamini unafanana nalo. Dodoma hawajaanza kuandikisha wapiga kura, kinachofanyika ni kutoa semina na mafunzo kwa waandikishaji biongozi, na baadae waandikishaji wasaidizi, tarehe ya kuanza kuandikisha haijatangazwa, na kwa maelezo ya wahusika ni kuanzi mwezi ujao. Acha upotoshaji. Kwanza ungejishangaa nimkwa nini uko peke yako kama mwanga, kwamba Dodoma nzima ujue wewe peke yako tu? Haya wahamasishe Kundule wenzako waje kujiandikisha. Kweli waTZ tumerogwaNipo kituoni toka sa kumi na mbili nasubiri kujiandikisha nipate tiketi ya kuiondoa CCM.Ila tukio hilo hapa Dodoma limefanywa siri kubwa ndio maana mpaka sasa kituoni nipo peke yangu ila baada ya kujiandikisha naenda kuhamasisha.
we boya nini walivyotuambia tar 15 walifikiria nini?acha kufikiri kwa kutumia tumboJina lako kweli nimeamini unafanana nalo. Dodoma hawajaanza kuandikisha wapiga kura, kinachofanyika ni kutoa semina na mafunzo kwa waandikishaji biongozi, na baadae waandikishaji wasaidizi, tarehe ya kuanza kuandikisha haijatangazwa, na kwa maelezo ya wahusika ni kuanzi mwezi ujao. Acha upotoshaji. Kwanza ungejishangaa nimkwa nini uko peke yako kama mwanga, kwamba Dodoma nzima ujue wewe peke yako tu? Haya wahamasishe Kundule wenzako waje kujiandikisha. Kweli waTZ tumerogwa
Mi nadhani wewe uache kufikiri kwa kutumia makalio, we hukujishangaa ulipojikuta peke yako kituoni, kama unakalia kusoma na kusikiliza magazeti na leo za udaku utaishia kusoma namba kila siku. Jitafakari, chukua hatua.:mimba:halafu unachukia nini wakati jina umechagua mwenyewewe boya nini walivyotuambia tar 15 walifikiria nini?acha kufikiri kwa kutumia tumbo
Mi nadhani wewe uache kufikiri kwa kutumia makalio, we hukujishangaa ulipojikuta peke yako kituoni, kama unakalia kusoma na kusikiliza magazeti na leo za udaku utaishia kusoma namba kila siku. Jitafakari, chukua hatua.:mimba:halafu unachukia nini wakati jina umechagua mwenyewe