Leo ni siku ya tatu, NACTVET hawapokei simu yangu

Mkoba wa Mama

Senior Member
May 5, 2021
113
45
Ilinichukua zaidi ya wiki moja simu yangu kupokelewa NHIF.

Leo ni siku ya tatu napiga simu NACTVET inaita tu bila kupokelewa.

Sasa kuna umuhimu gani wa hizo namba/mawasiliano ya huduma kwa wateja

Lakini pia hata ukituma barua pepe hazijibiwi kabisa.

Ninashauri waliangalie hili suala maana linaleta usumbufu na kuchelewesha watu kupata huduma za dharura.
 
Hilo tatizo la kutopokelewa Simu lipo karibia kila Ofisi ya Serikali... Hawapokeagi simu hao, mpaka uende ofisini kwao.
 
Katika watu wa mchango ni hawo watu hana masada ila kipindi cha Magufiri walikua makini
 
Back
Top Bottom