Leo ni Siku ya "Kutokuvaa Bra" Duniani

Mi sivaagi labda kama nguo ni transparent sana
 
Sawa, ila atasheherekea ndani tu,tunawajua mnachokitafuta na uzungu wenu..
 
Dunia ina maajabu, tusishangae kusikia siku ya kutovaa chupi kuenzi uzazi, maana kumekuwa na siku nyingi za enzi. Sasa kaulimbiu ya mwaka huu kutovaa bra inasemaje?
 
Dunia ina maajabu, tusishangae kusikia siku ya kutovaa chupi kuenzi uzazi, maana kumekuwa na siku nyingi za enzi. Sasa kaulimbiu ya mwaka huu kutovaa bra inasemaje?
Hahaahhhaa hahahahahha
 
Sasa wanyakyusa inakuwaje!
 
Unauliza na una jibu mfukon! Bas nilitaka tu kujua km nao wanaweza wasivae kuenz hii siku ya kutovaa sidiria. Pia kujua watalazmika kukaa chumban siku nzma au la!
 
Hizo nyonyo zina kazi nyingi sana yan nkiziona had nataman niwe hapo kwa fasi ya pemben
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…