Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
Habari wanaBodi.
Nichukue fursa hii kuwatakia maisha mema yenye mafanikio baba wote wanaowajibika katika nafasi zao.
Jiulize umemshukuru kwa lipi baba yako mpaka hapo Ulipofika.
"Rest In Peace my beloved father, I still do remember you, ingawaje ulitutoka nikiwa na umri miaka mitatu.Mungu ailaze pema peponi roho yako.