Leo ni siku ya kina baba duniani

Leo ni siku ya kina baba duniani

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,876
Reaction score
29,648
Habari wanaBodi.

Nichukue fursa hii kuwatakia maisha mema yenye mafanikio baba wote wanaowajibika katika nafasi zao.

Jiulize umemshukuru kwa lipi baba yako mpaka hapo Ulipofika.
 
Nimekukumbka sana baba yangu kpenzi mshauri wangu rafki yangu daima utakua ndani ya moyo wangu
 
Sio wababa wote, ni kwa wale wanaojitambua na kutimiza wajibu wao, wale waliotelekeza watoto na wasiojitambua wasubiri waandaliwe siku yao. wanaume wengine ovyoooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!
 
Soma tena afu njoo uchangie
 
Habari wanaBodi.

Nichukue fursa hii kuwatakia maisha mema yenye mafanikio baba wote wanaowajibika katika nafasi zao.

Jiulize umemshukuru kwa lipi baba yako mpaka hapo Ulipofika.

Tuliobobea Katika " Michepuko " Naona Kama Vile Haituhusu Na Hututendei Haki.
 
Pumzika kwa amani ya milele baba angu. Haukuwa baba tu, bali rafiki na mshauri bora. Hata kama ningepewa nafasi ya kuchagua baba kabla sijazaliwa, ningekuchagua wewe.
 
I love my daddy... Peace and love to all fathers how know their responsibilities... God bless you and your families.
 
My dad ur the best thing that has ever happened to us,u always say no matter what kwako priority ni family,
Live long happy n successful
 
Mambò mengine bana, sasa fathers day for what exactly!

Like what do we need to express? Or what do women need to tell us on ths day.
Aarghh.!! Nonsense tu.
 
My dad ur the best thing that has ever happened to us,u always say no matter what kwako priority ni family,
Live long happy n successful

you couldnt express those feelings to ur dad, only in fathers day.!? Hypocricy at its highest.
 
Pumzika kwa amani ya milele baba angu. Haukuwa baba tu, bali rafiki na mshauri bora. Hata kama ningepewa nafasi ya kuchagua baba kabla sijazaliwa, ningekuchagua wewe.

so touching mkuu ijoz....nimekopa maneno yako yamfikie pia na mzee wangu huko aliko!..Apumzike kwa Amani Milele,Amina!
 
Last edited by a moderator:
The Only Father I have known is My Mother ....And so I bid her Happy Fathers day
 
Baba yangu yupo kaburini, hivyo my love to him naiexpress kwa hisia na kuendeleza yale mazuri aliyonifundisha.
 
Baba Yangu nakushukuru sana. Siku zote umekuwa support kubwa kwangu katika maisha yangu yote. Umekuwa unanitia moyo pale napokwama. Umekua ukitutetea na kutu-protect pale mtu yoyote anapoonyesha dalili ya maonevu. Ulijinyima kwa ajili ya watoto wako wote wa kike na wa kiume. Sina maneno ya kukwambia Baba bali asantae sana na Mungu azidi kukupa maisha marefu ya amani, furaha na yenye Baraka. Amen
 
Back
Top Bottom