Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Nani kakwania mapenzi yana siku maalum
Mpende umpendae kila siku ione adhimu
Kila siku twapenda nini na wangu mahamumu
Mapenzi yetu matamu yenye mengi mashamsham
Kila siku twadumisha mapenzi yetu adimu
Sasa babu ujue mapenzi yataka nidhamu
Mapenzi hayana siku yapo tangu dawamu

Hapo unaeleweka,
wala hakuna mashaka,
Kupendana bila shaka,
Ni siku zote swadakta.

Ikawekwa siku moja,
watu wawe kwa pamoja,
Wa ndoa hata waseja
Upendo kuonyeshana.
 
Kwa alivyo na valentine wengi hiyo avatar haitatosha kwenye kiboksi cha avatar cha JF,labda akutumie slide za picha....l.o.l:laugh::laugh::laugh:

Hahahahaha!Bwoi..mbona atakua hoi bin taaban! Hashy eti ya kweli haya??
 
Babu babu!! babu! babu huyoooo!!
Babu, babu huyo, babu, babu huyo, babu huyo babuuuuu!!
Baaaaaabu huyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!

Elodiiiiiiii loves you much much babu.
 
Babu babu!! babu! babu huyoooo!!
Babu, babu huyo, babu, babu huyo, babu huyo babuuuuu!!
Baaaaaabu huyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!

Elodiiiiiiii loves you much much babu.

Enyi watu wote pigeni makofi
Enyi watu wote pigeni makooooofi,
Mpigieni Bwana Mungu wetu,
Mpigieni na Vigelegele.....

Babu loves you too mshikiiiiz!
 
Chetuntu ahsante sana,
Kwa upendo wako mpana.
Najua huwezi bana,
Kigoma siyo ahera.

Siku ukijisikia,
Nauli ukipatia,
Kwa babu we kimbilia,
Hakika wapokelewa.

Babu lazima kubana isije kuwa pana. Valentine kupendana sio kusimangana. Valentine sio ngono utapata gono.
 
Hapo unaeleweka,
wala hakuna mashaka,
Kupendana bila shaka,
Ni siku zote swadakta.

Ikawekwa siku moja,
watu wawe kwa pamoja,
Wa ndoa hata waseja
Upendo kuonyeshana.

Sikiza wasia wangu usijeachwa mjini
Mshike mkono uzungushe kiunoni
Usingoje valentini utayamshika ugoni
Mapenzi ni pumzi yahitajika duniani
Ukosapo mapenzi wajikuta taabani
Mapezi uwenayo ya awali na zamani
Tena yenye huba uyamwage hadharani
 
Hashy please don't!!I wanna hear you calling my dearest Elle coz she is your Valentine!

Mwngine huyu.......wanazidi kupungua tu. Sijui kama ntapata ugoro leo LOLZ!
 
Duh,kaka yangu,mbona hivi? yaani hiyo ndo tricky yako....l.o.l
haya ngoja mi nitandike kitanda.....l.o.l:laugh::laugh:
Yaani sis sijui what was i thinking nilipokuwa naandika anyway its just a spelling mistake i meant MKWE leo sijui nina matatizo gani
 
Back
Top Bottom