Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Maria Roza jamani, Mbona babu wamliza,
Sijakusahau hani, Wee wangu dada Roza,
Ingia kwangu moyoni, Babu aakuliwaza
Withi siriazi noti, Hepi valentan dei!

Babu im second or third selection haha haha,
thanx alot enjoy babuuu
 
l.o.l......aaaarrrghh we tatizo hujali feelings za wajukuu wako wa kiume!

Mi sina majukuu ya kiume bana......yaani yanambania babu hata kuuza baiskeli yake...eti yanataka nife yapate kuirithi baisko ya babu..
Wakike hawana tabu, wakipewa mali na waume zao wanagawana na babu yao...raha kama nini!!!
 
Babu mpaka saa hii hakuna mjukuu aliye wahi? leo inaweza kula kwako asee!!
 
this kibabu ruined my jf apetaiti siku ya welcome home ya mai one and only.......l.o.l
Huyu kibabu sema tu mimi sijachukua jukumu la kumfuatia huo ugoro wake maana ningemchanganyia na kitu cha Arusha au Malawi
 
Babu mie nitakusaidia mkongojo wako na kukupaka mafuta mgongoni
Najua babu ww kibogoyo ,najua babu wewe huwezi kula mifupa
Happy Valentine day Asprin
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom