Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

AWWWUUUUUUUUUUUUUUUU, What a nice poem, i love this. Happy valentine babuuuuuuuu
Ahsante Carmel wangu,
Akujaze wangu Mungu,
Akuondolee mawingu,
Azifungue na Pingu,

Happy Valentine babu Asprini!Kwa breakfast utatumia kinywaji gani?Bia..mbege..gongo?Niambie nikakuletee haraka!

Lizzy nakufagilia,
Ua nitakutumia,
Mbege hata nayo bia,
Haraka babu letea.
 
Sina mengi sana leo ila ningependa kuchukua fursa hii kuweka mambo sawa ndugu zanguni wapendwa.

Valentine day si sikukuu ya kikkristo wala ya kiislamu, sikukuu hii haiwafai watu wenye kuamini Mungu kwa maana hii ni sikukuu ya kipagani.
Chukua muda wako kidogo pitia hizi videos.

YouTube - Shocking Truth About Valentines Day!

YouTube - Dark History of Valentines Day

http://www.youtube.com/watch?v=oXdGQztdzNA&feature=related

YouTube - Valentines Day - a Pagan Celebration

Kwako babu Aspirin, nakusahuri uwapende wajukuu zako kila siku usingojee 14th Feb.

Thanks.
 
haiyaaaa......Happy Valentine's babu wee....mi mvinyo mwekundu ntakunywa na weye.....
 
Sina mengi sana leo ila ningependa kuchukua fursa hii kuweka mambo sawa ndugu zanguni wapendwa.

Valentine day si sikukuu ya kikkristo wala ya kiislamu, sikukuu hii haiwafai watu wenye kuamini Mungu kwa maana hii ni sikukuu ya kipagani.
Chukua muda wako kidogo pitia hizi videos.

YouTube - Shocking Truth About Valentines Day!

YouTube - Dark History of Valentines Day

YouTube - Valentines Day - a Pagan Celebration

Hii siku valentini,
Watu wako mapenzini,
Wanakujaje pagani,
watolewe wanadini?

Kupendana kuna dini?
Mapenzi ni upagani?
babu yuko taabani,
Ameingia shakani.
 
Mke hivi haujui the dark side ya babu kabla haujaenda kwake pitia kwangu nikwambie ili ukienda uwe makini kabisa

Duh,kaka yangu,mbona hivi? yaani hiyo ndo tricky yako....l.o.l
haya ngoja mi nitandike kitanda.....l.o.l:laugh::laugh:
 
Hii siku valentini,
Watu wako mapenzini,
Wanakujaje pagani,
watolewe wanadini?

Kupendana kuna dini?
Mapenzi ni upagani?
babu yuko taabani,
Ameingia shakani.

Nani kakwania mapenzi yana siku maalum
Mpende umpendae kila siku ione adhimu
Kila siku twapenda nini na wangu mahamumu
Mapenzi yetu matamu yenye mengi mashamsham
Kila siku twadumisha mapenzi yetu adimu
Sasa babu ujue mapenzi yataka nidhamu
Mapenzi hayana siku yapo tangu dawamu
 
Hashy.....go and get clingy with your Valentine!Make that avatar come alive!

Kwa alivyo na valentine wengi hiyo avatar haitatosha kwenye kiboksi cha avatar cha JF,labda akutumie slide za picha....l.o.l:laugh::laugh::laugh:
 
Back
Top Bottom