Kumbuka kakaa Jela mwaka mzima,kama ni marinda yote masela wamesepa nayo, ukichanganya na lile nundu basi raha sana!!!kimsingi hata akitoka Jela leo lakini Nidhamu imerudi,yaani hata akiona Kuku barabarani atakuwa anatoa Shikamoo akiwa amepiga na goti!!!ule ubabe wake wote hautakuwepo tena maana akili imemkaa sawaSintaongea mengi humu maana wanajua kabisa kwamba yule mbaya wao wanaepambana ili kumkomoa.
Leo ameruka kiunzi kingine pale haki ilipotolewa kule Mahakamani Arusha.
Sasa tumeelewa kwa nini Naibu DPP Kweka alifanya mbinu ili kumhamisha gereza bila hata mwanasheria wake kuwa na taarifa.
Lengo ikiwa kumsogeza kwenye ngome yao ili watimize malengo yao.
Tena alfajiri alfajiri bila hata kusubiri muda halali wa kufunguliwa shughuli za gereza la Kisongo.
Mungu anaendelea kumsimamia huyu jamaa dhidi ya njama za lile genge la fedha Bandia pale Boma.
Tuna imani Mungu ataendelea kumsimamia mpaka mwisho.
Najua kuna watu wana povu lakini ukweli unaendelea kudhihirika hatua kwa hatua.
Pumbaf sana wewe unatetea majambazi?Sintaongea mengi humu maana wanajua kabisa kwamba yule mbaya wao wanaepambana ili kumkomoa.
Leo ameruka kiunzi kingine pale haki ilipotolewa kule Mahakamani Arusha.
Sasa tumeelewa kwa nini Naibu DPP Kweka alifanya mbinu ili kumhamisha gereza bila hata mwanasheria wake kuwa na taarifa.
Lengo ikiwa kumsogeza kwenye ngome yao ili watimize malengo yao.
Tena alfajiri alfajiri bila hata kusubiri muda halali wa kufunguliwa shughuli za gereza la Kisongo.
Mungu anaendelea kumsimamia huyu jamaa dhidi ya njama za lile genge la fedha Bandia pale Boma.
Tuna imani Mungu ataendelea kumsimamia mpaka mwisho.
Najua kuna watu wana povu lakini ukweli unaendelea kudhihirika hatua kwa hatua.
Sukuma gang mnatetea majambaziNaibu DPP anatumika na Chadema na wachaga kumkomoa Sabaya.
Anatumia Rasilimali za serikali kufurahisha ndugu zake.
Jambo hili likiachwa liendelee litatengeneza uadui kati ya makabila hapa nchini.
Wewe kibaraka wa gaidi huna jipya.Sukuma gang mnatetea majambazi
Huyo DPP mkuu ni mteuliwa wa Rais usitegemee msaidizi wake aende kinyume nae.Naibu DPP anatumika na Chadema na wachaga kumkomoa Sabaya.
Anatumia Rasilimali za serikali kufurahisha ndugu zake.
Jambo hili likiachwa liendelee litatengeneza uadui kati ya makabila hapa nchini.
Leo atalala Jela Kisongo,kesho safari ya Gereza la Karanga Moshi inaanza[emoji1787][emoji1787],kakaa Jela mwaka mzima marinda yote nyang'anyang'a,yaani hata akiingia uraiani leo Heshima na Nidhamu itakuwa imetamaradi vya kutosha,ule ubabe wake wote kwisha habari yake,hakika hata akiona Mbuzi barabarani atapiga goti na kutoa shikamoo,tukutane Gerezani Karanga MoshiWewe kibaraka wa gaidi huna jipya.
Hii ni aibu nyingine kubwa sana kwa team mwamba!Sabaya is finished mkuu, hata akishinda kesi zote hana lolote tena, hana mtaji wa kisiasa, ni mhalifu anayejulikana
Aliyekuwa akiteua na kuwatuma wahalifu ameshakufa na CCM wamesjajifunza hawatakaa wampe nchi mgonjwa mwingine wa akili atakayeteua watu kama Sabaya
Nimekumbuka na jana tena Makonda alimpiga chini yule kada wa chadema Kubenea.Huyo DPP mkuu ni mteuliwa wa Rais usitegemee msaidizi wake aende kinyume nae.
CHADEMA inahusikaje na maagizo ya makada na wateuliwa tiifu kwa rais?
CCM mnazidi kujipambanua sasa mnadhihirisha wazi huyu kibaka alikua na baraka zote za chama na kutoka kwa dikteta aliyekua anasema anampigia simu muda wowote.
😂😂😂 Nyie jifarijini tu lakini story yenu iliishia 17/03/2021Hii ni aibu nyingine kubwa sana kwa team mwamba!
Leo atalala Jela Kisongo,kesho safari ya Gereza la Karanga Moshi inaanza[emoji1787][emoji1787],kakaa Jela mwaka mzima marinda yote nyang'anyang'a,yaani hata akiingia uraiani leo Heshima na Nidhamu itakuwa imetamaradi vya kutosha,ule ubabe wake wote kwisha habari yake,hakika hata akiona Mbuzi barabarani atapiga goti na kutoa shikamoo,tukutane Gerezani Karanga Moshi
Inshort hili kabila sio la kuwapa high position ,wamejaa ukabila Sana!!Naibu DPP anatumika na Chadema na wachaga kumkomoa Sabaya.
Anatumia Rasilimali za serikali kufurahisha ndugu zake.
Jambo hili likiachwa liendelee litatengeneza uadui kati ya makabila hapa nchini.
Heri yako wewe mramba miguu wa jiweWewe kibaraka wa gaidi huna jipya.
Wachaga wanachomfanyia Sabaya watambue kuwa sio sawa.Inshort hili kabila sio la kuwapa high position ,wamejaa ukabila Sana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo na Gaifi Mbowe naye hana marinda maana naye kakaa zaidi ya miezi minane!Kumbuka kakaa Jela mwaka mzima,kama ni marinda yote masela wamesepa nayo, ukichanganya na lile nundu basi raha sana!!!kimsingi hata akitoka Jela leo lakini Nidhamu imerudi,yaani hata akiona Kuku barabarani atakuwa anatoa Shikamoo akiwa amepiga na goti!!!ule ubabe wake wote hautakuwepo tena maana akili imemkaa sawa