UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,018
Tafuta pesa wacha kuwaza ujinga, nchi maskini hii.
Tafuta pesa wacha kuwaza ujinga, nchi maskini hii.
Kwa hiyo maisha kwako is all about pesa?? Hakuna nyanja zingine zinazokugusa??
Tafuta pesa wacha kuwaza ujinga, nchi maskini hii.
maana yake wanakutana chochoroni then wanafanya yao !!You got my Point?
Mkuu mawasiliano kwenye mahusiano ni noma sana , ukita uamini uliza watoto & wake wa geti kali lenye milango saba na mbwa mkali,walivyong'olewa na kutafunwa kama una nawa , na wahusika waliowazuia kubaki wana shangaa kwa kutoamini kilicho wapata wapendwa wao .
Amini kabisa mkuu ,Kama huyo mtu wako anajua nini anakitafuta kwa huyo jamaa , fahamu tu huwezi mdhibiti kamwe kwani utashindwa kufanya mambo yako mengine ya maendeleo kwa kuwaza kazi za "night support na KK security".
Kiongozi, hata wewe si una pa kupooza koo baada ya kuisaka hiyo pesa? Tunawaza na kuisaka pesa lakini pia love ina nafasi yake ujue...!
Nadhani Enzi za kupigania mapenzi hazipo tena, tuna vitu vya muhimu vya kufanya