The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,682
- 120,075
Tunashabihiana kwenye hili.Alinipangawisha Bob Marley nikiwa Shule hasa high school pale Songea Boys. Ikipigwa get up stand au zimbambwe, nilihisi damu imesimama kwa muda, hisia Kali sana. Daftari zote Tunapiga verse kwa nyuma, unameza wakati wote. Dah, maisha yana mapito. Kizaxi cha sasa sijui km wana hisia km zetu aisee. Unakumbukwa Bob Marley huko uliko. Sijui km alikuwa mkritu huyu bnana.