naombeni link tafadhali ya live footie
sio live footie.....ni live update.......nataka live tv online nicheki soka hiloNenda www.soccernet.com halafu click gamecast utapata live update
hao wananiletea zengwe........sijui nilipie....Half time 0-0; check www.espn360.com for live coverage.
Dakika 120 zimekatika bado ni bila bila, sasa ni penalty. Naamini MANU watashinda maana wana wapigaji wazuri wa penalty ukilinganisha na Tottenham.