Mungu awarehemu wote walokutana na ukatili huu wa kimataifa!
=========== Marekani inaadhimisha mwaka wa kumi na tano tangu shambulio la wapiganaji wa jihad la Septemba 11 ambalo liliwaua watu 3000 na kusababisha vita dhidi ya wapiganaji wa kigaidi duniani.
Katika ikulu ya rais ,rais Obama ataadhimisha shambulio hilo mida ya saa 2 na dakika 46 alfajiri wakati ambapo ndege iliotekwa nyara iligonga jumba refu la World Trade Center mjini New York,na kuanzisha vita vikali dhidi ya magaidi nchini Marekani.
Baadaye majina ya waathiriwa wote yatasomwa katika ibada ya kumbukumbu katika eneo la Ground Zero ambapo jengo la WTC lilianguka.
Shambulio hilo la Septemba 11 lilisababisha uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan na Iraq,na lilisababisha mashambulio zaidi ya kigaidi kutoka Bali hadi Brussels.
Naskia hiyo siku Michael Jackson alitakiwa kuwepo kwenye twin towers masaa mawili kabla ya tukio, ambazo zikuwepo pembeni kwa hilo jengo ambazo nazo ziliharibika nyang'anyang'a na kuua watu wote ila jamaa hakufika kwa sababu alichelewa kuamka.
Kuna alot of conspiracy about this issue. From engineering point of view... the impact za ile ndege haliwezi kufanya jengo lianguke. Designs zilikuwa strong kuweza kuhold mpaka mara 30 za aina ile ya impact (Boeing 707 impacts causing 10% more damage)
Pili nature ya lile ama yale majengo. Ile ni steel design structure. And melting point ya steel ni almost twice ya burning jet fuel.
Tatu jengo lote kuweza kuanguka mpaka chini..lazima kuwe na failure kwenye critical columns of the building ambazo zinaweza kufail kuanzia level ya ground to the foundation ili jengo lote lianguke.
Inawezekana... kuna kitu ama explosive devices ziliwekwa chini ya jengo ili liweze kuanguka
walipumbaza watu na wakati hicho kitu kilipangwa na INTERPOL wenyewe. fuatilia zaidi undani wa mambo ndio utajua ukweli wake. waiwezekani kabisa jengo lililotengenezwa kwa steel liyeyuke kiasi kile mpaka chini.
Kama hii ni kweli ina maana walipanga pia mashambuluzi ya balozi zao in '98, ambapo kuna Watanzania wenzetu na Wakenya walipoteza maisha? cos inaonyesha kuwa kwenye mlengo mmoja...maajabu haya.