DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Anaitwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa terehe 20. January 1968 kwa sasa ametimiza miaka 58, Lissu anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ndani ya Gereza kuu la Ukonga kwa kesi ya Uhaini
Ni mwanasiasa wa Upinzani aliyejijengea heshima kubwa kutokana na misimamo yake mikali akiwa ni mtu asiyeyumbishwa. Lissu ni Mpinzani wa kweli aliyekataa kwa vitendo rushwa na siasa za udalali, Jambo lililomfanya kuwa na ushawishi na kupendwa zaidi na jamii ya wapenda Demokrasia ya kweli nchini Tanzania.
"Bila mabadiliko hakuna uchaguzi sio tu kususia uchaguzi, lengo nikuzuia uchaguzi"