Leo ni bajeti

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,441
Reaction score
872,037
Leo ni bajeti ya 2013/2014
Bajeti hii ndio itatoa mwelekeo wa serikali kwa miezi kumi na mbili ijayo lakini hata kabla haijatangaZwa tayari habari zimeshaenea kuwa mwananchi wa kawaida bd anazidi kukandamizwa nayo mawasiliano na vivywaji vimezidi kuongezewa kodi huku wawekezaji wakizidi kupewa misamaha ya kodi na ahueni kibao .Sisi kama Taifa tufanyeje?
 

Mkuu umekosea mlango
 
wabongo tunapenda kulaumu, mkuu hii mada ingekua na maana kama ingekua bajeti haijapangwa na mawazo yetu yangeathiri hio bajet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…