Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,227
- 3,330
Oktoba ni danganya toto, leo ndio Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa watapatikana. Mchakato ulianza kwa Muhimili mmoja wa Serikali (Samia, Mpango na wenzie) kupitisha majina wanayotaka wao ili kuunda muhimili wa pili wa serikali. Iko wazi kuwa sasa Watanzania hawana tena haki ya kuchagua kiongozi wamtakae