Leo ndio nimethibitisha tabia ya CCM

Leo ndio nimethibitisha tabia ya CCM

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
1,583
Reaction score
2,702
Rais Magufuli alitoa agizo kuwa 9/12/2015 itakuwa ni siku ya usafi nchi nzima badala ya kuwa siku ya uhuru ili kuokoa mabilioni ya pesa za walalahoi yanayotumika kwa anasa kila mwaka!

Kampeni zimeisha,rais kapatikana,Sasa inakuwaje wana CCM kuvaa sare za chama chao wakati wa usafi wa kitaifa usiohusisha vyama vya kisiasa? Rais alitoa agizo kwa wana CCM tu au kwa watanzania wote? Ni tafsiri gani hiyo?

Vipi kama NCCR,CUF,na CHADEMA nao wakivaa sare zao na kisha kuingia mitaani na kujichanganya na wana CCM je?! Hali itakuwa shwari kweli? Hapo usafi utafanyika kweli au vitaanza vijembe vya kisiasa na hatimae ugomvi? au Hawa wana CCM tuliowaona ktk taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu wametengewa maeneo yao maalumu ya usafi? Au usafi huu ni wa makada wa chama cha CCM pekee?

Ulimbukeni huu na ushari huu umethibitisha pasi na shaka kuwa ccm ni wapumbavu,upumbavu siyo tusi bali ni sifa (adjective) mpumbavu ni mtu asiye na hekima,hata ktk Biblia imeandikwa kuwa mpumbavu kasema hakuna Mungu,Mithali.
 
Mimi nadhani hii sikukuu imefutwa mwaka huu tu ili kumwokoa Raisi Shein ,maana angepata aibu kubwa sana kuliko aliyopata Dodoma kama angeonekana uwanjani...
 
jamani MAKAMANDA, sio lazima kuanzisha sredi! Mnajiaibisha kwa kujivua nguo! Hivi wewe una ubongo kweli au ni empti kabisa?
 
Kweli nimeshangaa kuona watu wanakwenda na manguo yale ya Ccm kwenye usafi wa nchi waa che ujinga.waipende amani kuliko chochote.
 
Mimi nadhani hii sikukuu imefutwa mwaka huu tu ili kumwokoa Raisi Shein ,maana angepata aibu kubwa sana kuliko aliyopata Dodoma kama angeonekana uwanjani...

Shein yupi? Shein amekwenda na maji tangu Oct 25.
 
Rais magufuli alitoa agizo kuwa 9/12/2015 itakuwa ni siku ya usafi nchi nzima badala ya kuwa siku ya uhuru ili kuokoa mabilioni ya pesa za walalahoi yanayotumika kwa anasa kila mwaka!

Kampeni zimeisha,rais kapatikana,Sasa inakuwaje wana ccm kuvaa sare za chama chao wakati wa usafi wa kitaifa usiohusisha vyama vya kisiasa? Rais alitoa agizo kwa wana ccm tu au kwa watanzania wote? Ni tafsiri gani hiyo?

Vipi kama NCCR,CUF,na CHADEMA nao wakivaa sare zao na kisha kuingia mitaani na kujichanganya na wana CCM je?! Hali itakuwa shwari kweli? Hapo usafi utafanyika kweli au vitaanza vijembe vya kisiasa na hatimae ugomvi? au Hawa wana ccm tuliowaona ktk taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu wametengewa maeneo yao maalumu ya usafi? Au usafi huu ni wa makada wa chama cha ccm pekee?

Ulimbukeni huu na ushari huu umethibitisha pasi na shaka kuwa ccm ni wapumbavu,upumbavu siyo tusi bali ni sifa (adjective) mpumbavu ni mtu asiye na hekima,hata ktk Biblia imeandikwa kuwa mpumbavu kasema hakuna Mungu,Mithali.

Mkuu kifupi ni kwamba hunaakili kabisa ngoja nisiseme mengi we kiazi kweli.
 
Umegeneralize sana mkuu, ndani ya chama kuna watu wengine makini sana usiseme chama flani ni wapumbavu, sema baadhi ya wanchama wa chama flani ni wapumbavu
 
Kiazi ww kuna haja gani ya kuvaa nguo za chama. Na magufuli anawaenjoy tu mtaisoma namba wenyewe
 
ccm ni wapumbaavu adi jehanamu mkuu! chama cha kizandiki kweli hicho
 
Chama cha majipu kimeoza sana majipu yamehadhiri hadi ubongo
 
Umegeneralize sana mkuu, ndani ya chama kuna watu wengine makini sana usiseme chama flani ni wapumbavu, sema baadhi ya wanchama wa chama flani ni wapumbavu

Donald Trump anataka waislamu wote duniani wazuiwe kwenda Marekani kwa sababu waislamu wachache wanafanya ugaidi,kwa hiyo imewakumba hata wasiohusika,wakati wana ccm wanavaa sare zao,viongozi wote wa chama waliwaona na hakuna aliyewakemea,kwa mantiki hiyo mkuu,ccm ni wapumbavu japokuwa si wote ila wanabebwa na ujinga wa wenzao!
 
Hivi c ndo rais dr magufuli mlisema ni wa ccm nanyi km upinzani hamumtambui au mlishafuta kauli yenu ile km hamjafuta kauli hao wa ccm wako sahihi na badala yake nyie ndio wapumbavu.
 
Wana CCM kwa sasa hawajielewi.. hawana UHAKIKA kama weshajinyea au kujikojolea..
 
Hivi c ndo rais dr magufuli mlisema ni wa ccm nanyi km upinzani hamumtambui au mlishafuta kauli yenu ile km hamjafuta kauli hao wa ccm wako sahihi na badala yake nyie ndio wapumbavu.

Wewe mjinga ndo hujitambui kabisa! Kwa hiyo magufuli alishinda ili kuongoza wana ccm wenzake tu hadi useme wapo sawa? Wewe ni mjinga na mpumbavu kupindukia! UKAWA hawakusema kuwa hawamtambui magufuli kama rais,bali walisema kuwa hawatambui ushindi wake,uwe na akili ya kupambanua kenge wewe! Magufuli anabaki kuwa rais wa watanzania wote hata wale ambao hawakumchagua! Siyo rais wa ccm ni rais wa Tanzania,umeelewa vyema wewe popoma uliyetukuka?
 
Back
Top Bottom